The Tsangaliweni Experience

Emmanuel Ngare, 17 years

Nilikuwa nimekorofishana na wazazi wangu nyumbani hapo awali lakini baada ya kutizama mchezo huu,nilijihisi mwenye amani tele. Iliniburudisha, MTG, endellni vivyo hivyo. Ningependa Uholanzi ishinde.

I had had some problems with my parents back at home earlier but after watching the game I felt at peace. MTG keep it up. I would like Holland to win.

Edmora Mueni, 6 years

Nilifurahishwa na muziki uliotaka kwa hizo speaker kubwa. Wachezaji walikuwa na sare nzuri sana. Ningependa wote washinde!

I was fascinated by the music from the big speakers! The players had on very smart uniforms. I would love all of them to win!

John Kalume, 16 years

Nilipata kuchangamsha mawazo na akili yangu. Hatuna runinga nyumbani kwa hivyo hii ilikuwa fursa nzuri ya kutizama mchezo huu maarufu kwenya mandhari ya kustarehesha! Ningapenda Ujerumani ishinde!

It was an opportunity to refresh my mind. We dont have a TV set at home so I got the opportunity to watch the game in a relaxed manner! I support Germany!

Thaddeus Kisawa, 17 years

Lilikuwa kweli jambo la busara.Ilitufanya tuwe busy na hatukufikira kutenda vitendo vibaya kama uhalifu. Ilitutolea pia stress.

It was really a worthy cause.It made us engage our minds and we dint think of engaging in criminal activities. It was also a good stress remover.

Aurelia Kahindi, 16 years

Nilipata furaha kubwa kuona mchezo halisi wa World cup.Mimi kama msichana,nilipata kuvutiwa kabisa nanikapenda kuingia timu ya kucheza kandanda ili pia mimi nipate kucheza hadi ngazi ya World cup pia!


I was very happy! As a girl, I felt very encouraged to join a football club and play in the World cup too!

Katana Nyule, 5 years

Hiyo screeni ilikuwa kubwa sana na yapendeza. Sijawahi kuitizama tena. Ilinifurahisha mno.

The screen was very big and beautiful. I have never seen such a screen before. It made me very happy.

Zawadi Kahisi, 7 years

Napenda kutizama kandanda.Nilifurahia sana. Ningependa timu zote zishinde.

I love watching football. I was so happy. I would like all teams to win.

Ann Maridadi, 19 years

Ni vema kufanya haya maonyesho. Ningependa mwendelee vivyo hivyo. Nilipendezwa sana.

It is good to do the screenings.I would love if it becomes a continous exercise. I really enjoyed myself.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s