The Bahati Experience

Michael Chengo, 17 years

Kwa hali ya kawaida, kwenda kutizama mechi katika club ni bei ghali sana kwa hivyo nimependezwa na MTG kuonyesha hapa kwetu. Mimi pia hucheza kandanda na nimependezwa kuona vile hawa wa ngazi za juu wacheza.

In normal circumstances, going to watch the match in a club would be expensive for me so i am glad MTG came to screen the match here at our neighbourhood. I am also a football player and so am happy to wach how they play in the higher ranks.

Tunje Mambo, 18 years

Mimi hutizama mchezo huu kama ajira. Nimependa kuuona kwani hata mimi nataraji nitafanya vema zaidi katika siku zijayo.MTG imenipa moyo kabisa. Ningependa Germany ishinde.

I look at football as a career. I was happy to see the match since i also hope to progress to that level in future. MTG has really encouraged me. I support Germany.

Julius Kahindi, 15 years

Napenda michezo kwa jumla, lakini haswa mimi hupenda Kandanda. Inaweza kukufanya uwe mashuhuri kama vile Mariga (Inter Milan ). MTG inatufanya sisi vijana tuwe na hiyo hamu ya umaarufu kama pia Mariga. Ninataka Uholanzi ishinde.

I love sports in general but i love football the most. This is because it can make you as famous as Mariga( Kenyan who plays for Inter Milan ) MTG is giving us youth the chance to want to gain as much prowess as Mariga. I want Holland to win.

Leila Kalua, 14 years

Kama mchezaji wa MTG,nilija ili niongeze ujuzi wangu. Kandanda haina jinsia, ndio maana naupenda. Kwa hili Kombe la dunia nasupport timu mbili ; Uholanzi na Ujerumani. Lakini mimi hupenda pia Manchester.

I am an MTG player, I came to watch the game and perfect my skills. Football knows no gender,boy or girl, so that’s why I love it. In the world cup, I support two teams, Holland and Germany. But other times I support Manchester.

Sharlet Chali, 8 years

Nilifurahia. Hii Runinga ni kubwa kuliko iliyo nyumbani kwa hivyo niliona mechi kwa njia nzuri sana. Ningependa pengine wanyeshe mchana kwani jioni kuna baridi.

I was entertained. The screen is much bigger than the one at home so everyone is very clear. I would love the MTG to show the match during the day since at the evenings it is very cold.

Lotan Othiambo, 10 years

Nilipenda sana kwenda South Africa lakini sikwenda. Nikitizama mechi, nahisi ni kama niko South Africa. Timu yangu Ghana ilishindwa nikalia sana.

I really wanted to go to South Africa and watch the game….but I didn’t go. But when I watch the match, I feel like I am in South Africa! When my team Ghana lost, I cried alot.

Uhura Kahindi, 9 years

Nilikuja kuona mechi hii kwani naupenda na kuufurahia huu mchezo. Nina ndugu ambaye hucheza kandanda na pia mimi nikitizam mechi, nitapata siri zote na niweze kushindana naye. Ningependa pia nichezee timu ya MTG.

I came to watch the game because I love the game. I also have a brother who plays football and I want to learn the tricks of the game and compete with him. I would also want to play for the MTG games.

Amos Amani, 10 years

Napenda kandanda sana. Pia wazazi wangu hunihimiza kucheza. Nataka kuwa refa kwa michezo mikuu. Ahsante MTG kwa kuleta mechi kwetu shuleni. Ningependa Spain ishinde.

I love football a lot . Even my parents encourage me to play more. I want to be a referee of big and major matches. Thank you MTG for bringing the match to my school.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s